Viongozi wa ford kenya wamekosoa maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    1,415 views

    Viongozi wa chama cha ford kenya wakiongozwa na seneta wa bungoma david wakoli wameshtumu vikali mauwaji ya kiholela yanayoendelea nchini.