Visa vya wajane kulazimishwa mapenzi vyakithiri Kilifi

  • | Citizen TV
    73 views

    Kesi za mapenzi baina ya watu wa familia au jamaa moja zimekithiri katika kaunti ya Kilifi. Haya ni kwa mujibu wa Afisa wa shirika moja ambalo limefanya utafiti kwa Muda kaunti hiyo . Kwa sasa Tume ya kitaifa ya usawa wa kijinsia NGEC iko mbioni kuandaa mswaada utakaoangazia masuala ya ulinzi wa wajane nchini ambao wanaendelea kukandamizwa na kukosa haki zao