Wakazi wengi waugua kichocho nyatike kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    35 views

    Ugonjwa wa kichocho unaendelea kusambaa Kwa Kasi katika fuo za ziwa Viktoria katika kaunti ndogo ya Nyatike kaunti ya Migori.