Rais Ruto atia saini Mswada wa Fedha wa 2025 kuwa sheria

  • | Citizen TV
    661 views

    Rais William Ruto ametia sahihi mswada wa fedha wa mwaka huu hii leo katika Ikulu ya Nairobi baada ya kupitishwa bungeni siku ya Alhamisi wiki iliyopita .