Kaunti yalaumiwa kwa mapendeleo ya kutoa leseni

  • | Citizen TV
    176 views

    Serikali ya kitaifa na ile ya kaunti ya Taita Taveta zimelaumiwa kwa kuingiza wawekezaji wa madini katika shamba la kijamii la Kishushe huko Wundanyi bila kufuata taratibu za kisheria.