- 5,491 viewsNchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waasi wa M23 wameuteka Bukavu siku ya Jumapili, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini. Muda mfupi baadaye hali ya utulivu inashuhudiwa na sasa wakazi waliobaki nyumbani walitoka nje kujaribu kujikimu kimaisha VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Waasi wa M23 wasonga mbele Bukavu | VOA Swahili
- - 🔴 KTN LIVE STREAM ››
- 26 Jun 2025 - His remarks came amid nationwide protests held to mark one year since the deadly June 25, 2024, anti-government demonstrations.
- 26 Jun 2025 - Shabiki, through its Na Jamii corporate social responsibility initiative, proudly sponsored the KidsToKids Charity Golf Tournament, a one-of-a-kind event that raised funds to support education for underprivileged children in Kenya.
- 26 Jun 2025 - Some 26 Nyandarua County government vehicles were torched during Wednesday’s demonstrations to mark the first anniversary of last year’s anti-Finance Bill protests.
- - 16 deaths recorded in Wednesday protests: Amnesty Kenya
- 26 Jun 2025 - Iran's intelligence services have arrested 26 people, accusing them of collaborating with Israel, state media Fars news agency reported, days after a ceasefire between the two countries was announced.
- 26 Jun 2025 - Sixteen people died during nationwide anti-government protests in Kenya on Wednesday, most of them killed by police, the head of Amnesty Kenya said, a year after deadly demonstrations against a tax bill culminated in the storming of parliament.
- 26 Jun 2025 - Ecuador's president announced Wednesday that the country's most-wanted fugitive, Los Choneros gang leader "Fito," had been recaptured over a year after his escape from prison triggered a wave of violence.
- 26 Jun 2025 - This follows the conduct witnessed between police and protesters during the June 25 protests.
- 26 Jun 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has called on protesting youth to resist the temptation of storming the State House, urging them instead to focus their energy on achieving lasting change through democratic means. Speaking during an interview on a local TV…
- 26 Jun 2025 - Pastor Dorcas Rigathi has urged sustained prayers following the deadly Gen Z memorial protests that left at least eight people killed and 400 others injured across the 27 counties in Kenya where the demos took place. In a statement on Thursday, June 26…