Maduka mengi yaliporwa kwenye maandamano jana

  • | Citizen TV
    2,024 views

    Maandamano ya jana yalisababisha vifo vya watu 15, majeruhi , uharibifu na uporaji wa mali katika maeneo mbalimbali nchini.