Vituo kadhaa vya polisi viliteketezwa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    2,450 views

    Ofisi kadhaa za serikali ikiwemo Mahakama ya Kikuyu, ofisi za eneo bunge hilo na vituo vya polisi vya kikuyu na olkalou ziliteketezwa kwenye maandamano ya Genz.