- 160 views"Mjini Kinshasa, ninapoishi, nimegundua kwamba kuna hali ya kutojali kuhusu raia kupambana na virusi vya Corona kwa sababu watu wengi hawaamini kwamba kuna ugonjwa huo idadi kubwa ya watu wasioamini kwamba kuna ugonjwa ni wale wanaoishi nje ya mji," J. Kazimoto. Naye Daniel Makeke ni mhariri. Anasema juhudi hizo ni muhimu katika kupambana na habari potofu. Vituo vya radio vinategemea podcasts ili kueneza taarifa kuhusu magonjwa na majanga, namna ya kupata tiba, ukweli kuhusu tiba na chanzo cha monkeypox, miongoni mwa mengine. Kwa namna hiyo, tunaweza hata kuwafikia watu wasiokuwa na uwezo wa mtandao wa kidijitali ambao wanafaidika na kazi yetu ya kutafuta ukweli. Makeke anasema juhudi za Eleza ukweli zinasaidia kuzuia kusambaa kwa habari za uongo kuhusu magonjwa kusambaa, zinazoweza kuwa hatari kwa afya. Mwandishi wa habari Zanem Nety Zaidi ameandaa ripoti hii kutoka Goma, DRC. #habaripotofu #drc #goma #waandishi #voa #voaswahili #covid19 #mpox #virusi
Waandishi wajituma kuufahamisha umma kuhusu habari potofu za Mpox, COVID-19
- 26 Jun 2025 - Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
- 26 Jun 2025 - The incident occurred when two officers—one from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the other from the general police service—were overcome by the weight of the mast, which collapsed and came into contact with live electricity cables…
- 26 Jun 2025 - President William Ruto has assented to the 2025 Finance Bill at State House, Nairobi after MPs passed the proposed legislation last week.
- 26 Jun 2025 - Aroko, who was previously arrested and treated as a suspect in the high-profile case, was freed after the Directorate of Criminal Investigations (DCI) reviewed the evidence and opted to enlist him as a key witness.
- 26 Jun 2025 - Four casualties from Wednesday’s June 25 anniversary demonstrations are still admitted at the Matuu Level IV hospital in Machakos County with gunshot wounds.
- 26 Jun 2025 - Babu took to social media, saying, "This is not just an attack on me, but on democracy itself," linking the withdrawal to his active participation in nationwide protests marking the one-year anniversary of the June 2024 demonstrations against the…
- 26 Jun 2025 - His remarks came amid nationwide protests held to mark one year since the deadly June 25, 2024, anti-government demonstrations.
- 26 Jun 2025 - Shabiki, through its Na Jamii corporate social responsibility initiative, proudly sponsored the KidsToKids Charity Golf Tournament, a one-of-a-kind event that raised funds to support education for underprivileged children in Kenya.
- 26 Jun 2025 - Kilifi County fails to spend Sh220m climate funds, audit reveals
- 26 Jun 2025 - Linus Kaikai joined Royal Media Services in 2018 from NTV.