Mshukiwa Phillip Aroko afanywa kuwa shahidi wa serikali

  • | Citizen TV
    133 views

    Mfanyabiashara na mwanasiasa, Philip Aroko, ameondolewa kwenye orodha ya washukiwa wa mauaji ya Mbunge wa Kasipul, Charles Ong'ondo Were