Kipute cha CECAFA 2025

  • | Citizen TV
    761 views

    Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Kenya Harambee Starlets ilionyesha nia ya kutwaa ubingwa wa michuano ya wanawake ya CECAFA baada ya kuifunga uganda kwa mabao 4-0, ushindi wao wa pili mkubwa katika mashindano hayo nchini Tanzania.