| Kilimo Biashara | Uyoga aina ya oyster unazidi kuwavutia wengi

  • | Citizen TV
    201 views

    Kilimo cha uyoga aina ya oyster kinazidi kushika kasi humu nchini huku wakulima wadogo wakikikumbatia zao hili lenye faida kubwa ili kuongeza mapato yao. Kwa mahitaji madogo ya nafasi na muda mfupi wa kukua hadi mavuno, uyoga wa oyster unazidi kuwa chaguo kuu la mkulima wa kisasa.