Familia ya mvuvi afariki selini Homa Bay yaomba msaada kugharamia uchunguzi

  • | NTV Video
    72 views

    Familia ya mvuvi aliyefariki katika seli kwenye kituo cha polisi cha Kipasi Homabay inawasihi wakenya kuwasaidia kuchangisha pesa za kufanya uchunguzi wa maiti ili kubaini kilichomuua.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya