- 223 viewsWaokoaji wanajaribu kuwafikia watu waliokwama katika jengo lililoporomoka katika mji mkuu wa biashara la Dar es Salaam siku ya Jumatatu, ambapo idadi ya waliofariki imeongezeka na kufikia 16. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Zulia Jekundu: Wiki ya mitindo ya Lagos yafana
- 26 Jun 2025 - In a statement released Thursday, the country's leading legal body expressed condolences to the families of the eight people confirmed to have died during the nationwide protests, one year after the 2024 anti-Finance Bill demonstrations.
- 26 Jun 2025 - The Kenya Union of Journalists (KUJ), Kenya Editors Guild (KEG), Association of Media Women in Kenya (AMWIK), and Kenya Correspondents Association have filed a petition in the High Court claiming that the government's actions violate several fundamental…
- 26 Jun 2025 - Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
- 26 Jun 2025 - The incident occurred when two officers—one from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the other from the general police service—were overcome by the weight of the mast, which collapsed and came into contact with live electricity cables…
- 26 Jun 2025 - Since his impeachment last year, Gachagua has been a critic of Ruto, accusing him of alleged incompetence.
- 26 Jun 2025 - President William Ruto has assented to the 2025 Finance Bill at State House, Nairobi after MPs passed the proposed legislation last week.
- 26 Jun 2025 - Omtatah warned that Kenya might be heading the Sudan way.
- 26 Jun 2025 - Aroko, who was previously arrested and treated as a suspect in the high-profile case, was freed after the Directorate of Criminal Investigations (DCI) reviewed the evidence and opted to enlist him as a key witness.
- 26 Jun 2025 - President William Ruto has assented to three key bills passed by the National Assembly, including the Finance Bill 2025, the Supplementary Appropriation Bill 2025, and the Appropriations Bill 2025.
- 26 Jun 2025 - Action for Sustainable Change (AFOSC-Kenya) has condemned the violence reported in parts of the country during the June 25 anniversary demonstrations.