Wizi wa ng'ombe waongezeka mpakani mwa Nyamira na Bomet

  • | Citizen TV
    94 views

    Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Nyamira wamelalamikia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo, katika eneo la Borabu mpakani mwa kaunti za Nyamira na Bomet. Wakizungumza kwenye hafla ya mchango eneo la Nyansiongo katika eneo bunge la Borabu, viongozi hao wamesema visa hivyo vilivyokuwa vimepungua vimerejea tena.