- 771 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wakazi wa mji wa Sake huko DRC waliporejea katika makazi yao
- 26 Jun 2025 - Some 26 Nyandarua County government vehicles were torched during Wednesday’s demonstrations to mark the first anniversary of last year’s anti-Finance Bill protests.
- 26 Jun 2025 - Iran's intelligence services have arrested 26 people, accusing them of collaborating with Israel, state media Fars news agency reported, days after a ceasefire between the two countries was announced.
- 26 Jun 2025 - Sixteen people died during nationwide anti-government protests in Kenya on Wednesday, most of them killed by police, the head of Amnesty Kenya said, a year after deadly demonstrations against a tax bill culminated in the storming of parliament.
- 26 Jun 2025 - Ecuador's president announced Wednesday that the country's most-wanted fugitive, Los Choneros gang leader "Fito," had been recaptured over a year after his escape from prison triggered a wave of violence.
- 26 Jun 2025 - In a statement on X, Kaluma said the CA’s move was in the interest of public safety and order.
- 26 Jun 2025 - Israeli attacks across Gaza on Wednesday killed at least 45 Palestinians, including some who were seeking aid.
- 26 Jun 2025 - The Triple Olympic champion Faith Kipyegon is on the brink of making history again as she gears up for a landmark sub-four-minute mile attempt at the Charlety Stadium in Paris on Thursday, June 26, 2025, evening. With a Ksh13 million incentive on the…
- 26 Jun 2025 - The communications authority of Kenya has defied court orders barring the action.
- 26 Jun 2025 - Prime Cabinet Secretary and Cabinet Secretary for Foreign and Diaspora Affairs, Musalia Mudavadi, hosted and bid farewell to the United States Chargé d’Affaires, Marc Dillard, as he concludes his diplomatic mission in Kenya. During their meeting,…
- 26 Jun 2025 - Lusaka challenged public officials to internalise and uphold Chapter Six of the constitution in their daily operations.