Wahudumu wapata matumaini baada ya bajeti kusomwa

  • | Citizen TV
    162 views

    Huenda wahudumu wa Afya wanaohudumu chini ya mpango wa UHC wakashusha pumzi hivi karibuni, wizara ya afya ikidhibitisha kutengwa kwa bajeti ya kuwahamisha katika serikali za ugatuzi. Kupitia mpango huo wa fedha, wahudumu wanatarajia kupewa kandarasi za kudumu.