Vijana wa Gen z kujitokeza kwa wingi kwa maandamano makubwa ya kudai haki kutoka kwa serikali

  • | Citizen TV
    14,606 views

    Leo hii imekuwa ni mara ya pili kwa vijana wa Gen z kujitokeza kwa wingi kwa maandamano makubwa ya kudai haki kutoka kwa serikali. Vijana wa gen-z wakirejea mwaka mmoja baada ya maandamano yao ya kwanza juni mwaka jana na kusababisha mauaji ya watu 60. Vijana hao walimenyana na polisi kwa zaidi ya saa nane wakikashifu matukio ya mwaka jana, wakiizomea serikali kwa kukosa kuimarisha uongozi na kuzidi kwa dhuluma za polisi.