Vijana 60 wa Matuga wamefuzu kozi za tofauti za kiufundi

  • | Citizen TV
    67 views

    Zaidi ya vijana 60 katika eneo bunge la Matuga wamefuzukatika kozi za kiufundi na kupata vifaa vya kuwawezesha kujiajiri kupitia mradi wa 'Tujiajiri'. Waliofuzu walipata mafunzo tofauti katika chuo cha kiufundi cha Matuga bila malipo ili kupunguza ukosefu wa ajira huku mradi huo ukinuia kufikia zaidi ya vijana 300 katika awamu yake ya pili kwa lengo la kuwawezesha vijana kuinua hali yao ya kiuchumi