Unadhani nchi yako ina matatizo na hivyo huna furaha?

  • | BBC Swahili
    18,798 views
    Kwa mujibu wa Ripoti ya Furaha ya Dunia ya 2025, hizi ndizo nchi zenye zisizo na furaha zaidi kwa sasa... na sababu zinaweza kukushangaza. Mwandishi wa BBC Martha Saranga anakujuza; - - #bbcswahili #umaskini #Ghasia #afrika #furaha #huzun Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw