Ubalozi wa Uingereza umeshutumu polisi kwa dhulma

  • | Citizen TV
    473 views

    Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini umekashifu vikali dhulma za polisi kwa waandamanaji jijini nairobi. Kwenye taaarifa kwa umma, ubalozi wa uingereza umesema kuwa idara ya polisi ni sharti iwape wananchi matumaini na ulinzi hasa wakati wa maaandamano. Uingereza imesema inafedheheshwa na polisi kutumia nguvu za mabavu kuwadhulumu waandamanaji ambao hawana silaha. Uingereza pia inataka kuwe na uchunguzi wa haraka na huru dhidi ya maafisa wanaodhulumu waandamanaji.