- 3,039 viewsRais Donald Trump amesema kuwa watu wa Palestina wanaweza kuhamishwa katika mataifa mengine huku Marekani ikichukua Gaza ili kuondoa mabomu ambayo hayajalipuka, kujenga upya na kuendeleza upya eneo hilo kiuchumi. Alikuwa katika mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambaye alisema wazo la Trump "linafaa kupewa kipaumbele". Ukanda wa Gaza umezungukwa na Israel, Misri na Bahari ya Mediterania. Tarehe 7 Oktoba 2023, Hamas ilishambulia Israeli na kuua watu wapatao 1,200 na kuchukua zaidi ya mateka 250. Hii ilisababisha mashambulizi ya kijeshi ya Israel ambapo zaidi ya watu 47,400 wameuawa, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas. #bbcswahili #marekani #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Trump: Marekani inaweza 'kuichukua' Gaza
- 26 Jun 2025 - In a statement released Thursday, the country's leading legal body expressed condolences to the families of the eight people confirmed to have died during the nationwide protests, one year after the 2024 anti-Finance Bill demonstrations.
- 26 Jun 2025 - The Kenya Union of Journalists (KUJ), Kenya Editors Guild (KEG), Association of Media Women in Kenya (AMWIK), and Kenya Correspondents Association have filed a petition in the High Court claiming that the government's actions violate several fundamental…
- 26 Jun 2025 - The decision targets Kenyans who are living in the United States.
- 26 Jun 2025 - Several police stations were infiltrated and destroyed.
- 26 Jun 2025 - Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
- 26 Jun 2025 - The court has since been closed indefinitely.
- 26 Jun 2025 - The defence maintained that the real owner of the account in question is missing.
- 26 Jun 2025 - "They are mobilising people to participate."
- 26 Jun 2025 - Malema called on Ruto to lead with dignity.
- 26 Jun 2025 - "We witnessed the most violent and anarchic day in the history of our Country since the 2007/08 post-election violence."