Shirika la maendeleo ya bonde la Kerio lachimba visima

  • | Citizen TV
    109 views

    Serikali kupitia Shirika la Maendeleo katika Bonde la Kerio (KVDA) imeanzisha mipango ya kuchimba mabwawa na visima katika bonde la Kerio, kwa lengo la kupunguza mizozo ya rasilimali miongoni mwa jamii za wafugaji na kuhakikisha maji yanapatikana kwa mifugo na matumizi ya nyumbani