Raila akosolewa mtandaoni kwa kulalamikia kusitishwa kwa mradi wa Adani

  • | NTV Video
    2,273 views

    Wakenya mitandaoni wameendelea kumkashifu kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwa kusema kuwa alighadhabishwa na kusitishwa kwa mradi uliopingwa na wakenya wa Adani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya