Polisi wanaoangamiza waandamanaji nchini wakemewa

  • | Citizen TV
    436 views

    Mbunge wa Eneo Bunge la Machakos Mjini, Caleb Mule amelaani vikali visa vya ukatili unaofanywa na maafisa wa polisi dhidi ya raia, akitaka wahusika kuwajibika na haki kutendeka kwa waathiriwa wa unyanyasaji huo.