Polisi walitumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji

  • | Citizen TV
    9,416 views

    Polisi walitumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji huku baadhi yao wakitumia mazungumzo ya maelewano kati yao na waandamanaji. Hata hivyo, licha ya kuwa mamia ya waandamanaji walijeruhiwa, maafisa wa polisi pia ni kati ya waliowachwa na majeraha.