Nguvu ya kumuenzi mpenzi

  • | BBC Swahili
    11,997 views
    Mwanaume mmoja ametembea kilomita 112 akiwa amebeba jokofu la kilo 37, lengo likiwa ni kumuenzi marehemu mke wake. Katika kipindi cha saa 34–36, Matt Jones alitembea huku akifanya harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya hospitali ya watoto Hope House Ty Gobaith. Kwa upande wako, mapenzi yanaweza kukusukuma jambo gani la kushangaza wengine; - - #bbcswahili #mapenzi #fundraising #maisha #ndoa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw