- 581 viewsNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Hamis Mwinjuma akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa kufuzu kuingia kwenye michuano ya Afcon 2025 kati ya Tanzania na DRC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mjini Dar es Salaam Tanzania. Baada ya mchezo Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA alieleza kutoridhishwa na matokeo hayo huku wakionyesha imani juu ya timu hiyo kufuzu fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika nchini Morocco. Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa marejeano wa kufuzu fainali za AFCON 2025 dhidi ya DR Congo kwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabao ya Congo yamefungwa na mshambuliaji Meshack Elia katika dakika za 88 na 90+, nyota huyo akiitumikia Young Boys ya Uswisi katika ngazi ya klabu. Licha ya kupoteza mashabiki wa Stars wamezungumzia mchezo huo wakionyesha ilipokosea. Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo, Tanzania (Taifa Stars) nafasi ya pili ikiwa na pointi 4, Guinea nafasi ya tatu pointi 3, Ethiopia ikishika mkia ikiwa na pointi 1. #tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja
Mwinjuma aeleza kuna matumaini kwa Tanzania kuingia AFCON 2025
- 26 Jun 2025 - Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has vehemently castigated the Wednesday, June 25, demonstrations, citing that the protesters had a motive to forcefully seize power through a coup.
- 26 Jun 2025 - In a statement released Thursday, the country's leading legal body expressed condolences to the families of the eight people confirmed to have died during the nationwide protests, one year after the 2024 anti-Finance Bill demonstrations.
- 26 Jun 2025 - The Kenya Union of Journalists (KUJ), Kenya Editors Guild (KEG), Association of Media Women in Kenya (AMWIK), and Kenya Correspondents Association have filed a petition in the High Court claiming that the government's actions violate several fundamental…
- 26 Jun 2025 - The decision targets Kenyans who are living in the United States.
- 26 Jun 2025 - Several police stations were infiltrated and destroyed.
- 26 Jun 2025 - Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
- 26 Jun 2025 - The court has since been closed indefinitely.
- 26 Jun 2025 - They are accused of inciting the youth.
- 26 Jun 2025 - The defence maintained that the real owner of the account in question is missing.
- 26 Jun 2025 - "They are mobilising people to participate."