Msichana wa miaka 18 abakwa na kuuawa Mwiki Nairobi

  • | Citizen TV
    10,475 views

    Polisi wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya msichana mwenye umri wa miaka 18 katika eneo la Mwiki phase 3 jijini Nairobi .