Mkimbizi asoma na kuwa muuguzi kambini Dadaab

  • | Citizen TV
    2,289 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wakimbizi duniani, upo mwanga wa matumaini katika kambi ya Dadaab katika kaunti ya Garissa.