Mfumo wa uchaguzi wa Marekani unategemea kura za wajumbe hutumika kumpa ushindi rais
Baada ya kila chama kumteua mteule wa kuwania urais, mteule huyo kimkakati humchagua mgombea mwenza kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
Timu huanza kazi kwa bidii kwa kampeni ya matayarisho kwa ajili ya siku ya mwisho ya upigaji kura hapo Novemba 5, Jumanne ya kwanza ya mwezi Novemba.
Siku ya uchaguzi, wapiga waliojiandikisha wanakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua mgombea uraia wa chama chao.
Rais kimsingi ataamuliwa na mfumo maarufu unaoitwa kura za wajumbe.
Kura za wajumbe inaundwa na wawakillishi, au wapiga kura, ambao wametengwa kulingana na matokeo ya kupiga kura katika kila jimbo. Majimbo yenye idadi kubwa ya watu wana wapiga kura wengi zaidi. Majimbo yenye idadi ndogo ya watu yana wapiga kura wachache.
Kushinda urais, mgombea lazima apate wingi wa kura za wajumbe kiasi cha kura 270.
Wapiga kura halafu wanapiga kura zao mwezi mmoja baadaye. Lakini rais mpya hachukui madaraka mpaka atakapoapishwa mwishoni mwa mwezi Januari.
#kurazawajumbe #electoralcollege #rais #uchaguzimkuu2024 #voa #voaswahili
26 Jun 2025
- The decision targets Kenyans who are living in the United States.
26 Jun 2025
- Several police stations were infiltrated and destroyed.
26 Jun 2025
- The court has since been closed indefinitely.
26 Jun 2025
- Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has vehemently castigated the Wednesday, June 25, demonstrations, citing that the protesters had a motive to forcefully seize power through a coup.
26 Jun 2025
- In a statement released Thursday, the country's leading legal body expressed condolences to the families of the eight people confirmed to have died during the nationwide protests, one year after the 2024 anti-Finance Bill demonstrations.
26 Jun 2025
- The Kenya Union of Journalists (KUJ), Kenya Editors Guild (KEG), Association of Media Women in Kenya (AMWIK), and Kenya Correspondents Association have filed a petition in the High Court claiming that the government's actions violate several fundamental…
26 Jun 2025
- The decision targets Kenyans who are living in the United States.
26 Jun 2025
- Several police stations were infiltrated and destroyed.
26 Jun 2025
- Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
26 Jun 2025
- The court has since been closed indefinitely.
26 Jun 2025
- They are accused of inciting the youth.
26 Jun 2025
- The defence maintained that the real owner of the account in question is missing.
26 Jun 2025
- "They are mobilising people to participate."