- 568 viewsRais Joe Biden alivunja ukimya akiwa mapumzikoni na familia yake huko Visiwa vya Virgin Islands nchini Marekanikumkumbuka Jimmy Carter, akikumbuka mtangulizi wake kama ni kiigizo kwake na rafiki. Marekani na dunia imepoteza “kiongozi wa kipekee” kufuatia kifo cha Carter, Biden alisema, akiongeza kuwa alikuwa ameongea na watoto kadhaa wa rais huyo wa zamani na alikuwa akishirikiana nao kuandaa rasmi kumbukumbu yake mjini Washington. Akizungumza kwa kiasi cha dakika 10, Biden alimkumbukaCarter kama muungwana na baba wa taifa, mtu ambaye hawezikufikiria aliweza kumpita mtu mwenye shida bila ya kujaribukuwasaidia. “Alisukuma mbele amani, aliendeleza haki za raia, haki zabinadamu, alishawishi uchaguzi huru na wa haki koteulimwenguni,” alisema Biden. "Rais wa Marekani alirejea kumpongeza Carter kwa “tabia zake”na maadili yake, akisema “tabia zilizonjema zimewanyanyua nakubadilisha maisha ya watu mbalimbali na kuokoa maisha yawatu kote ulimwenguni. Biden alisema kuwa ilikuwa “siku ya huzuni” na mojailiyorejesha tena kumbukumbu nzuri za ajabu. Alimkumbuka rais huyo wa zamani wakati akimliwaza yeye namkewe Jill wakati mtoto wao Beau alipofariki kwa saratani mwaka 2015. Rais huyo alisema vile saratani ilivyowaunganisha kati ya familiazao, wakati Carter mwenyewe alipougua saratani katika uhaiwake baadaye. Rais huyo wa zamani wa Marekani Jimmy Carter alifariki akiwa na umri wa miaka 100, baada ya takriban miezi 22 akiuguzwakatika kituo cha hospice kabla ya kufariki. Kituo cha Carter Center kilisema rais wa 39 alifariki Jumapilimchana katika makazi yake huko Plains, Georgia, ambapo yeye na mkewe, Rosalynn, ambaye alifariki Novemba 2023, waliishimuda mrefu zaidi huko. Kituo hicho kilisema alifariki kwaamani, akiwa amezungukwa na familia yake. - AP #JimmyCarter #raiswamarekani #cartercenter #Marekani #maziko #joebiden #rais #marehemu #voa #voaswahili
Marekani na ulimwengu wamepoteza kiongozi wa kipekee marehemu Jimmy Carter- Biden
- 26 Jun 2025 - The incident occurred when two officers—one from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the other from the general police service—were overcome by the weight of the mast, which collapsed and came into contact with live electricity cables…
- 26 Jun 2025 - President William Ruto has assented to the 2025 Finance Bill at State House, Nairobi after MPs passed the proposed legislation last week.
- 26 Jun 2025 - Aroko, who was previously arrested and treated as a suspect in the high-profile case, was freed after the Directorate of Criminal Investigations (DCI) reviewed the evidence and opted to enlist him as a key witness.
- 26 Jun 2025 - Four casualties from Wednesday’s June 25 anniversary demonstrations are still admitted at the Matuu Level IV hospital in Machakos County with gunshot wounds.
- 26 Jun 2025 - Babu took to social media, saying, "This is not just an attack on me, but on democracy itself," linking the withdrawal to his active participation in nationwide protests marking the one-year anniversary of the June 2024 demonstrations against the…
- 26 Jun 2025 - His remarks came amid nationwide protests held to mark one year since the deadly June 25, 2024, anti-government demonstrations.
- 26 Jun 2025 - Shabiki, through its Na Jamii corporate social responsibility initiative, proudly sponsored the KidsToKids Charity Golf Tournament, a one-of-a-kind event that raised funds to support education for underprivileged children in Kenya.
- 26 Jun 2025 - Linus Kaikai joined Royal Media Services in 2018 from NTV.
- 26 Jun 2025 - The KUCCPS students portal is currently open to facilitate applications to the institution.
- 26 Jun 2025 - President William Ruto on Thursday, June 26, 2025, signed the Finance Bill of 2025 into law at the State House in Nairobi. The bill, which was passed by the National Assembly on June 19, 2025, proposed a raft of amendments in the Income Tax Act, Value…