MAHAKAMA YASITISHA KESI YA UFISADI DHIDI YA GAVANA NATEMBEYA

  • | K24 Video
    766 views

    Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya amepata afueni ya muda baada ya Mahakama Kuu kusitisha kesi ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi iliyokuwa imewasilishwa dhidi yake. Jaji Bahati Mwamuye alitoa uamuzi huo leo, akiagiza pande zote kuwasilisha stakabadhi za kesi kabla ya Juni 20.