- 1,419 viewsChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi mkuu wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, uchaguzi uliyowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Uchaguzi huu unatarajiwa kuwa hatua muhimu katika mustakabali wa chama hicho, huku wagombea wakitoa wito wa mshikamano, maridhiano, na umoja ndani ya chama kwa ajili ya kuimarisha demokrasia na maendeleo nchini. Huu ulikuwa ujumbe maalum kutoka kwa mwanasiasa mkongwe Lissu kwa wajumbe na wanachama wa mkutano huo. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani. #uchaguzi #chadema #mwenyekiti #makamu #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
Lissu aeleza uhusiano imara uliopo kati yake na Freeman Mbowe
- 26 Jun 2025 - Babu took to social media, saying, "This is not just an attack on me, but on democracy itself," linking the withdrawal to his active participation in nationwide protests marking the one-year anniversary of the June 2024 demonstrations against the…
- 26 Jun 2025 - His remarks came amid nationwide protests held to mark one year since the deadly June 25, 2024, anti-government demonstrations.
- 26 Jun 2025 - Shabiki, through its Na Jamii corporate social responsibility initiative, proudly sponsored the KidsToKids Charity Golf Tournament, a one-of-a-kind event that raised funds to support education for underprivileged children in Kenya.
- 26 Jun 2025 - The MP has been a vocal critic of the current regime, and has hinted at running for a higher office in the upcoming elections.
- 26 Jun 2025 - Hundreds of people were arrested during the demos and are still in detention.
- 26 Jun 2025 - Some 26 Nyandarua County government vehicles were torched during Wednesday’s demonstrations to mark the first anniversary of last year’s anti-Finance Bill protests.
- 26 Jun 2025 - Several TV stations' free-to-air signals were switched off on Wednesday.
- 26 Jun 2025 - The signing was done in a short ceremony at the State House, Nairobi.
- 26 Jun 2025 - The project is at risk of becoming a while elephant, citing poor planning and lack of value for money.
- 26 Jun 2025 - The petition is questioning veracity of the decision of the DPP and Ipoa to exclude the police boss from the prosecution.