Kwa nini Kanisa la Gwajima limefungwa? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    37,628 views
    Serikali ya Tanzania imelifunga kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu Josephat Gwajima kwa kile walichokiita wanatoa mahubiri yanayoleta chuki baina ya serikali na wananchi. Askofu Gwajima amekuwa mstari wa mbele kuongelea juu ya utekaji na kupotea kwa raia nchini humo jambo ambalo limesababisha kupigwa vita vikali na baadhi ya wanachama wa chama tawala cha CCM. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw