Kwa nini Israel imeapa kum'maliza Kiongozi wa Iran Ali Khamenei?

  • | BBC Swahili
    183,109 views
    Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, "hapaswi kuendelea kuwepo" baada ya hospitali ya Soroka kushambuliwa na kombora la Iran. Akiongea na waandishi wa habari huko Holon, karibu na Tel Aviv, Israel Katz amesema Khamenei ametangaza wazi kwamba anataka Israel iangamizwe.