Kumbukumbu za Juni wakati wa maandamano ya mwaka jana ya Gen Z

  • | Citizen TV
    1,912 views

    Wakati fujo na milio ya risasi ilizidi wakati wa maandamano ya mwaka jana ya Gen Z katikati ya jiji la Nairobi, wahudumu wa afya wa kujitolea walijipata kwenye njia panda. Wengi wao wakihatarisha maisha yao wakiwa na lengo la kuwasaidia wakenya waliojeruhiwa wakati huo.