Kipsitet: Wakaazi walalamika kuhusu barabara mbovu

  • | NTV Video
    242 views

    Wakazi wa Kipsitet katika Eneo Bunge la Soin-Sigowet wameelezea hasira zao dhidi ya Mbunge wao, Justice Kemei, kwa kushindwa kukarabati barabara ya Chepsengeny-Kapsorok licha ya kuahidi kufanya hivyo wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2022.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya