"Jirani zetu wa Tanzania kama tumewakosea tunaomba radhi"
Rais wa Kenya William Ruto Rais William Ruto ameomba radhi mataifa jirani ya Uganda na Tanzania katika hatua ambayo inaonekana kama juhudi za kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo ya Afrika Mashariki.
Akizungumza wakati wa dhifa ya maombi ya Kitaifa jijini Nairobi, Rais Ruto alitoa wito wa kuboreshwa kwa uhusiano, akibainisha kuwa Kenya ipo katikaharakati ya "kujijenga upya".
Kauli ya Ruto inakuja wakati ambapo mvutano umeibuka kufuatia hatua ya Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya waliokuwa wamesafari hadi nchini humo kushuhudia kusikilizwa kwa kesi kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.
#bbcswahili #kenya #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
26 Jun 2025
- The protests spread across the country to mark the one-year anniversary of the June 25, 2024, victims.
26 Jun 2025
- The protests lasted the whole day, with police and protesters engaging in running battles and never ending chaos.
25 Jun 2025
- A report suggested a bomb would derail the planned protests on Wednesday.
26 Jun 2025
- Ecuador's president announced Wednesday that the country's most-wanted fugitive, Los Choneros gang leader "Fito," had been recaptured over a year after his escape from prison triggered a wave of violence.
26 Jun 2025
- The protests spread across the country to mark the one-year anniversary of the June 25, 2024, victims.
26 Jun 2025
- A fire engine from the local county government managed to put out the fire when the body of the woman was discovered.
26 Jun 2025
- “The world is watching, and Africa is watching,” the EFF said.
26 Jun 2025
- Similar projects and upgrades have begun in Lari, Juja and Limuru.
26 Jun 2025
- The boy had been missing, prompting a search at the compound.
26 Jun 2025
- The protests lasted the whole day, with police and protesters engaging in running battles and never ending chaos.
26 Jun 2025
- Kisima Declaration: The girls caught between two worlds: Why Samburu's fight against FGM is creating new divisions
26 Jun 2025
- The lobbies say other than tourism, it protects endangered species and supports biodiversity.
26 Jun 2025
- Wheels of Justice: Court stories lined up for today.