Jinsi barabara rafiki kwa mazingira zinavyobadilisha taswira Kenya.
Leo dunia inaadhimisha siku ya mazingira duniani.
Sasa Ukame wa muda mrefu, uharibifu wa ardhi na mvua kidogo ni baadhi ya changamoto ambazo wakulima katika eneo la Makueni, Kusini Mashariki mwa Kenya wanakabiliana nazo kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
Lakini je, barabara zinazojengwa kwa njia ambayo ni rafiki kwa mazingira zinaweza kusaidia kubadilisha hali hii?
Mwandishi wa BBC Peter Mwangangi alitembelea mradi mradi mmoja unaokarabati upya barabara zilizo maeneo ya vijijini ili zielekeze maji kutoka katika njia hadi kwenye mashamba ili kuimarisha uzalishaji wa chakula, na kupunguza mmomonyoko wa udongo njiani.
#bbcswahili #kenya #mazingira
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
26 Jun 2025
- The protests spread across the country to mark the one-year anniversary of the June 25, 2024, victims.
26 Jun 2025
- The protests lasted the whole day, with police and protesters engaging in running battles and never ending chaos.
25 Jun 2025
- A report suggested a bomb would derail the planned protests on Wednesday.
26 Jun 2025
- Ecuador's president announced Wednesday that the country's most-wanted fugitive, Los Choneros gang leader "Fito," had been recaptured over a year after his escape from prison triggered a wave of violence.
26 Jun 2025
- The protests spread across the country to mark the one-year anniversary of the June 25, 2024, victims.
26 Jun 2025
- A fire engine from the local county government managed to put out the fire when the body of the woman was discovered.
26 Jun 2025
- “The world is watching, and Africa is watching,” the EFF said.
26 Jun 2025
- Similar projects and upgrades have begun in Lari, Juja and Limuru.
26 Jun 2025
- The boy had been missing, prompting a search at the compound.
26 Jun 2025
- The protests lasted the whole day, with police and protesters engaging in running battles and never ending chaos.
26 Jun 2025
- Kisima Declaration: The girls caught between two worlds: Why Samburu's fight against FGM is creating new divisions
26 Jun 2025
- The lobbies say other than tourism, it protects endangered species and supports biodiversity.
26 Jun 2025
- Wheels of Justice: Court stories lined up for today.