Je kwanini Iran inazuiwa kumiliki nguvu za kinyuklia ?

  • | BBC Swahili
    68,330 views
    Tangu Israel ilipofanya shambulizi la kushtukiza dhidi ya miundo mbinu ya kimkakati ya nyuklia ya Iran kumekuwa na mashambulizi pande zote hasara na maafa pia zimeripotiwa, lakini watu wanauliza kwanini Iran inazuiwa kumiliki nguvu za kinyuklia ? Mtangazaji wa BBC,Munira Husein amelivalia njuga swali hilo na kutuandalia taarifa hii.... na Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw