- 356 viewsWiki hii tunaangazia matukio makuu yaliyogonga vichwa vya habari barani Afrika. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
JARIDA LA WIKIENDI: Matukio makuu yaliyogonga vichwa vya habari barani Afrika.
- 26 Jun 2025 - The incident occurred when two officers—one from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the other from the general police service—were overcome by the weight of the mast, which collapsed and came into contact with live electricity cables…
- 26 Jun 2025 - President William Ruto has assented to the 2025 Finance Bill at State House, Nairobi after MPs passed the proposed legislation last week.
- 26 Jun 2025 - Aroko, who was previously arrested and treated as a suspect in the high-profile case, was freed after the Directorate of Criminal Investigations (DCI) reviewed the evidence and opted to enlist him as a key witness.
- 26 Jun 2025 - Four casualties from Wednesday’s June 25 anniversary demonstrations are still admitted at the Matuu Level IV hospital in Machakos County with gunshot wounds.
- 26 Jun 2025 - Babu took to social media, saying, "This is not just an attack on me, but on democracy itself," linking the withdrawal to his active participation in nationwide protests marking the one-year anniversary of the June 2024 demonstrations against the…
- 26 Jun 2025 - His remarks came amid nationwide protests held to mark one year since the deadly June 25, 2024, anti-government demonstrations.
- 26 Jun 2025 - Shabiki, through its Na Jamii corporate social responsibility initiative, proudly sponsored the KidsToKids Charity Golf Tournament, a one-of-a-kind event that raised funds to support education for underprivileged children in Kenya.
- 26 Jun 2025 - Linus Kaikai joined Royal Media Services in 2018 from NTV.
- 26 Jun 2025 - The KUCCPS students portal is currently open to facilitate applications to the institution.
- 26 Jun 2025 - President William Ruto on Thursday, June 26, 2025, signed the Finance Bill of 2025 into law at the State House in Nairobi. The bill, which was passed by the National Assembly on June 19, 2025, proposed a raft of amendments in the Income Tax Act, Value…