- 1,392 viewsRais mteule wa Marekani Trump akiwashukuru wafuasi wake Rais ajaye wa Marekani Donald Trump akiwashukuru wafuasi wake baada ya kuchaguliwa na wananchi kuwa rais wa 47. Trump alikuwa na ujumbe wa kujenga umoja kwa wale waliohudhuria mkusanyiko huo wa mkesha wa matokeo ya uchaguzi huko Florida. Endelea kusikiliza.. #voaelections #voaelections2024 - - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Hotuba ya Rais mteule Donald Trump
- - Copy of UNFILTERED ››
- - UNFILTERED ››
- - UNFILTERED ››
- - UNFILTERED ››
- 26 Jun 2025 - In a statement released Thursday, the country's leading legal body expressed condolences to the families of the eight people confirmed to have died during the nationwide protests, one year after the 2024 anti-Finance Bill demonstrations.
- 26 Jun 2025 - The Kenya Union of Journalists (KUJ), Kenya Editors Guild (KEG), Association of Media Women in Kenya (AMWIK), and Kenya Correspondents Association have filed a petition in the High Court claiming that the government's actions violate several fundamental…
- 26 Jun 2025 - Speaking a day after the nationwide demonstrations, Kimilili MP Didmus Barasa criticized court-imposed restrictions on police use of force, claiming they left officers powerless in the face of unrest.
- » “It Was an Attempted Coup, Not Protests” – Murkomen Declares, Vows Action On Organisers and Financiers26 Jun 2025 - At least 16 people were killed during the protests, according to Amnesty International, while more than 400 were injured. Among the fatalities was a security guard stationed at Kenya Power’s Stima Plaza headquarters. Fred Wamale Wanyonyi was shot at the…
- 26 Jun 2025 - The CS warned that the government would apprehend those behind the organisation.
- 26 Jun 2025 - Koome cautioned the freedom to assembly does not extend to acts of violence or destruction even as she acknowledged constitutional guarantees under Article 37.
- 26 Jun 2025 - Murkomen made the revelations moments after an assessment in the Nairobi CBD.
- 26 Jun 2025 - The incident occurred when two officers—one from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and the other from the general police service—were overcome by the weight of the mast, which collapsed and came into contact with live electricity cables…
- » (WATCH) What unfolded yesterday was not a protest, it was terrorism disguised as dissent – CS Murkomen- (WATCH) What unfolded yesterday was not a protest, it was terrorism disguised as dissent – CS Murkomen
- 26 Jun 2025 - Trans Nzoia Woman Representative Lillian Siyoi has sparked sharp reactions after questioning the frequency and relevance of national commemorations, even as the country continues to grapple with justice and healing following last year’s Gen Z protests.…