Familia bado zinasubiri haki mwaka mmoja baadaye kutokana na majeraha ya maandamano

  • | Citizen TV
    348 views

    Licha ya ahadi za fidia kwa waathiriwa wa maandamano ya mwaka jana, familia hizi bado zimesalia bila majibu yoyote. Katika kaunti ya Kirinyaga, familia ya John Mwangi imesalia na upweke, baada ya kijana wao kuaga dunia kutokana na majeraha ya moto aliyopata wakati wa maandamano.