Bill Gates kuwekeza Afrika mali zake, Nani kunufaika?

  • | BBC Swahili
    7,826 views
    Bill Gates, mmoja wa watu matajiri zaidi duniani ameahidi kutoa dola bilioni 200 za utajiri wake kwa bara la Afrika katika muda wa miaka 20 ijayo ili kuinua hadhi ya sekta ya Afya. Gates pia ameelezea maono yake kuhusu bara hili na kwa kwa nini anapenda kutembea Afrika. Huku akifanya hivyo, swali ambalo linaulizwa ni je pesa hizi zitawafikia wanaozihitaji barani humu? @RoncliffeOdit anaangazia suala hili kwa kina saa tatu usiku mubashara kwenye Dira ya Dunia TV katika ukurasa wa YouTube BBC Swahili #bbcswahili #dirayadunia #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw