- 1,073 viewsLeo katika Waridi wa BBC ,kimemulika maisha na mchango wa Bi. Khadija Mwanamboka, mwanamitindo mashuhuri kutoka Tanzania, ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuleta mabadiliko chanya ndani ya tasnia ya mitindo. Kwa zaidi ya miaka 25, Khadija amejitokeza kama mfano wa kuigwa, si tu kwa ubunifu wake bali pia kwa kazi yake ya kuwajengea uwezo wanawake nchini Tanzania. Ametumia majukwaa ya mitindo kama chombo cha kuwainua wanawake kiuchumi na kijamii, kupitia miradi na mafunzo mbalimbali. Katika juhudi za Tanzania kupata utambulisho wake wa kitaifa kupitia vazi rasmi, Bi. Khadija ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati maalum ya kuandaa vazi la taifa. Katika mahojiano na mwandishi wa BBC @elizabethkazibure amefichua baadhi ya siri na vigezo vilivyozingatiwa katika kubuni vazi hilo, vikiwemo rangi za bendera ya Tanzania, na usasa wa Mtanzania. - - 📹@frankmavura @enamuhisa #bbcswahili #mitindo #fashion #khadijamwanamboka #vazilataifa #watoto #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
BBC News Swahili
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 26 Jun 2025 - Wheels of Justice: Court stories lined up for today.
- 26 Jun 2025 - Kisima Declaration: The girls caught between two worlds: Why Samburu's fight against FGM is creating new divisions
- 26 Jun 2025 - Developers in the specialised construction sector will now have to up their game and deliver more projects if they are to continue enjoying tax incentives provided to them by the government.  This comes after legislators scrapped a bill that was…
- 26 Jun 2025 - The United States (US) President Donald Trump said on Wednesday, June 25, 2025, he would likely seek a commitment from Iran to end its nuclear ambitions at talks next week and credited U.S. strikes on Iran with bringing a swift end to the war between…
- 26 Jun 2025 - Bandits killed two people and injured two others on Monday.
- 26 Jun 2025 - A new report has made specific proposals for legal and institutional reform to maximise the intricately linked synergies between climate and biodiversity, since impacts on one significantly affect the other.  Climate change, driven by human activities…
- 26 Jun 2025 - Kenyans turned out in massive numbers to demand justice for Gen Zs who died.
- 26 Jun 2025 - Here is what you need to know to keep up to speed with today’s happenings. Protest postmortem Discussions surrounding the bloody Gen Z-led protests held across the country yesterday are expected to dominate conversations today across various platforms.…
- 26 Jun 2025 - Kenya anniversary protests turn violent, 8 dead
- 26 Jun 2025 - Mix of uneasy calm, running battles mark day in Nyanza and Western